Search

431 results for Oliver Albert :

  1. Haya sasa! Kazi ianze

    TIMU nne za wanawake zitaumana Jumamosi hii katika michezo ya Ngao ya Jamii wakati JKT Queens itakapocheza dhidi ya Fountain Gate Princess huku macho na masikio ya wapenda soka yakiwa katika...

  2. Simba watatoboa kweli!

    SIMBA itaanza harakati zake za kuwania kuingia katika nafasi iliyozoea ya robo fainali kesho licha ya kwamba ubora wa kikosi hicho kwa siku za karibuni umeonekana kuwapa shaka mashabiki wake...

  3. Cadena aanza kuona mwanga Simba

    KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena amesema kwa namna wachezaji wa timu hiyo walivyocheza dhidi ya Namungo jana imempa picha namna wanavyoyafanyia kazi wanayowaelekeza mazoezini na anaamini...

  4. Maxi, Ngoma wapewa Dabi

    DABI ya Kariakoo inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, Jumapili kuanzia saa 11:00. Mastaa wa zamani wenye uzoefu na mchezo huo wamesema eneo la kiungo likiongozwa na Maxi Nzengeli na...

  5. MZUKA WA GOLF: Leverian, huyu ndiye mpishi wa watu maarufu kwenye gofu

    TGUna TGLU kwa kushirikiana na Mwananchi kupitia gazeti la Mwanaspoti. Naamini huko mbele tutafanya makubwa zaidi na tayari tumeanza kuona matokeo ya mapokeo ya jamii.” Imeandaliwa na Olipa Assa...

  6. Msuva awatuliza mashabiki Stars

    BAADA ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kutoka sare ya bao 1-1 na Sudan, mijadala mikubwa imeibuka kwa mashabiki wakihoji kama timu hiyo itatoboa kwenye michuano ya Afcon 2023, lakini...

  7. Gofu sheria zake zitakufurahisha

    Tanzania kuna nguli mwenye heshima kubwa ya mchezo huo na hana haja ya kusoma kabisa ni Salum Mwanyenza kiwango chake cha kucheza mataifa mengi duniani anastahili moja kwa moja kufundisha. “Watu...

  8. PRIME Yule Miquissone ndo huyu sasa, Robertinho afunguka...

    Cosmopolitan yalifungwa na Moses Phiri, Jean Baleke, Willy Onana, Kramo na Shaban Chilunda, huku bao la wapinzani wao likifungwa na Mohammed Samatta kwa mkwaju wa penati baada ya Shomari Kapombe...

  9. Hawa ni wanaotisha RBA

    HATUA ya mzunguko kwenye Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (RBA) imemalizika na sasa timu nane upande wa wanaume zitaanza kuonyeshana kazi kwenye hatua ya robo fainali itakayoanza leo...

  10. Namungo tatizo straika

    KOCHA Mkuu wa Namungo, Cedric Kaze amesema changamoto ya kukosa straika halisi katika mchezo uliopita ilichangia kushindwa kutumia nafasi nyingi ilizopata na kuinyima ushindi dhidi ya JKT...

Page 1 of 44

Next